
Maafisa usafirishaji wa pikipiki wakiendelea na zoezi la kuwajengewa uwezo wa kutumia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kujiweka katika khali salama bila ajali zinazosababisha vifo, ulemavu na utegemezi katika jamii.
Baadhi ya madereva wakizungumza na bosaseli
Kazi nzuri