Bosaseli katika harakati za kuwabadilisha wadau wake (maafisa usafirishaji wa bodaboda) kifikra ili kuwa salama.

Maafisa usafirishaji wa pikipiki wakiendelea na zoezi la kuwajengewa uwezo wa kutumia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kujiweka katika khali salama bila ajali zinazosababisha vifo, ulemavu na utegemezi katika jamii.

Baadhi ya madereva wakizungumza na bosaseli

One comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *