KUENDESHA SALAMA, KUISHI SALAMA.

Maafisa usafirishaji wakipewa elimu ya kujiepusha na ajali kupitia redio. Bosaseli wameendelea kuitoa hii elimu kupitia kituo cha redio cha TBC Arusha jinsi wanavyoweza kujiepusha na ajali zinazoepukika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *