BODABODA, SAFIRI SALAMA.
Mkurugenzi wa Bosaseli Bwana Mourice Ouko akiwa na dada Hifsi Joseph (katibu wa Bosaseli) pamoja na Mdau wa Bosaseli Cindy McDougall katika mujadala wa kuwezesha...
Read MoreMkurugenzi wa Bosaseli Bwana Mourice Ouko akiwa na dada Hifsi Joseph (katibu wa Bosaseli) pamoja na Mdau wa Bosaseli Cindy McDougall katika mujadala wa kuwezesha...
Read MoreBosaseli ikiwa na wadau wengine wa vijana katika harakati za kuwajengea uwezo na kubadilishana uelewa ili kuifikia jamii salama, hasa vijana walioko kwenye tasnia ya...
Read MoreBodaboda ni kazi halali na ya heshima ni jasho la kijana ni riziki ya familia
Read MoreBosaseli ikizidi kushirikiana na wadau mbalimbali katika mazungumzo yenye kuleta muafaka na mwelekeo chanya wa kuweza kuwasaidia maafisa usafirishaji hili kuweza kuepuka ajali zisizo za...
Read MoreBosaseli ikiwa katika mazungumzo TBC ARUSHA kwa lengo la kutoa elimu mbalimbali itakayoweza kusaidia bodaboda na jamii kwa ujumla.
Read MoreNyakati za elimu kwa maafisa usafirishaji wa bodaboda, Samwel Daudi – mkurugenzi wa Jioni Ya Zamani akajitokeza kutia nguvu katika shughuli hii nzuri ya kuifanya...
Read MoreMaafisa usafirishaji wakiendelea kupokea elimu na ujengewaji uwezo kwenye mbinu za kuepukana na ajali zinazoepukika.
Read MoreMaafisa wa usafirishaji baada ya kupata elimu inayolenga kuokoa maisha yao, abiria na watumiaji wengine wa barabara katika kazi zao za kila siku wanatoa kwa...
Read MoreMaafisa usafirishaji wakipewa elimu ya kujiepusha na ajali kupitia redio. Bosaseli wameendelea kuitoa hii elimu kupitia kituo cha redio cha TBC Arusha jinsi wanavyoweza kujiepusha...
Read MoreElimu ya namna bora ya matumizi ya sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani ili kuepukana na ajali zinazoepukika zinazosababisha vifo, ulemavu, utegemezi na uharibifu...
Read More