Bosaseli wakitoa elimu kwa maafisa usafirishaji wa pikipiki katika maeneo ya Sanawari mahakamani.

Elimu ya namna bora ya matumizi ya sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani ili kuepukana na ajali zinazoepukika zinazosababisha vifo, ulemavu, utegemezi na uharibifu wa vyombo, muda na gharama kubwa za tiba kwa wahanga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *