Maafisa usafirishaji wakipata elimu toka kwa Bosaseli juu ya namna njema ya matumioz ya sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani ili kuepukana na ajali zinazoepukika. Ajali hizi hugharimu maisha, afya, muda, vyombo na na vifaa tiba kwa wahanga na serekali kwa ujumla wake hupoteza nguvu kazi yake.

Baadhi ya vijana wakizungumza na bosaseli