TUWAINUE BODABODA KWA PAMOJA
Bosaseli ikizidi kushirikiana na wadau mbalimbali katika mazungumzo yenye kuleta muafaka na mwelekeo chanya wa kuweza kuwasaidia maafisa usafirishaji hili kuweza kuepuka ajali zisizo za...
Read MoreBosaseli ikizidi kushirikiana na wadau mbalimbali katika mazungumzo yenye kuleta muafaka na mwelekeo chanya wa kuweza kuwasaidia maafisa usafirishaji hili kuweza kuepuka ajali zisizo za...
Read MoreBosaseli imeweza kumtembelea kijana ambaye ameweza kupata ajali na kushindwa kuendelea na shughuli ya bodaboda, lengo kuu la bosaseli ni kutambua mchango wa kijana yule...
Read MoreBosaseli ikiwa katika mazungumzo TBC ARUSHA kwa lengo la kutoa elimu mbalimbali itakayoweza kusaidia bodaboda na jamii kwa ujumla.
Read MoreNyakati za elimu kwa maafisa usafirishaji wa bodaboda, Samwel Daudi – mkurugenzi wa Jioni Ya Zamani akajitokeza kutia nguvu katika shughuli hii nzuri ya kuifanya...
Read MoreMaafisa usafirishaji wakiendelea kupokea elimu na ujengewaji uwezo kwenye mbinu za kuepukana na ajali zinazoepukika.
Read MoreMaafisa wa usafirishaji baada ya kupata elimu inayolenga kuokoa maisha yao, abiria na watumiaji wengine wa barabara katika kazi zao za kila siku wanatoa kwa...
Read MoreMaafisa usafirishaji wakipewa elimu ya kujiepusha na ajali kupitia redio. Bosaseli wameendelea kuitoa hii elimu kupitia kituo cha redio cha TBC Arusha jinsi wanavyoweza kujiepusha...
Read MoreBosaseli yazidi kutoa elimu kwa maafisa usafirishaji huku ikizidi kuwataka maafisa usafirishaji wazidi kuendesha kwa umakini na uangalifu hili kuepuka ajali zisizo za lazima
Read MoreMaafisa usafirishaji wa pikipiki wakiendelea na zoezi la kuwajengewa uwezo wa kutumia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kujiweka katika khali salama bila ajali...
Read More