
Mkurugenzi wa Bosaseli Bwana Mourice Ouko akiwa na dada Hifsi Joseph (katibu wa Bosaseli) pamoja na Mdau wa Bosaseli Cindy McDougall katika mujadala wa kuwezesha Bosaseli kuwa kazini kwa nia ileile ya kuwawezesha vijana kuendana na uendeshaji salama wakifuata sheria na kanuni na taratibu ili kuwaweka katika mazingira salama yasiyo na ajali ili kuepuka vifo, utegemezi na ulemavu pamoja na gharama kubwa ya kutengeneza vyombo vyao vya moto.
