BODABODA NA KILIMO NJIA YA KUJIKWAMUA

Bosaseli imeweza kumtembelea kijana ambaye ameweza kupata ajali na kushindwa kuendelea na shughuli ya bodaboda, lengo kuu la bosaseli ni kutambua mchango wa kijana yule katika jamii kwa sasa na sehemu gani wanaweza kumsaidia kama bosaseli huku wakiweza kumshirikisha wazo la shamba darasa ambayo ni miongoni mwa mawazo na malengo ya bosaseli kwa vijana wale ambao wamepata changamoto.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *