
Nyakati za elimu kwa maafisa usafirishaji wa bodaboda, Samwel Daudi – mkurugenzi wa Jioni Ya Zamani akajitokeza kutia nguvu katika shughuli hii nzuri ya kuifanya jamii ya kitanzania inakuwa salama na panakuwa pahala salama pa makazi. Bodaboda ni usafiri salama na rahisi sana