JAMII YENYE USALAMA, BODABODA ALIYEPATA ELIMU.

Maafisa wa usafirishaji baada ya kupata elimu inayolenga kuokoa maisha yao, abiria na watumiaji wengine wa barabara katika kazi zao za kila siku wanatoa kwa hiari taarifa za muhimu wanazoziishi katika mazingira yao ya kila siku ya kazi kwa maafisa wa Bosaseli maeneo ya Sanawari mkoani Arusha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *